Niko gudooo sana anko akee nimefurahi kukuona tena!!Auntiee am back. π€βΊοΈπππ
Za kwako mummy nimekumiss sana mi pia.
Sema majukumu mengi πππ. Anyway
Nipo sana
π€π€ How's you?
Naked kweriiii kweriiii!!
Niko Nyumbani [emoji16][emoji16]Sawaaa[emoji91][emoji91][emoji91]
Uko wapi nije kukusalim
Haha mdogo wangu haya yote umeyatoa wapi, niliwaambia mimi ni housegirl natafuta kazi ya ukonda wa mabasi ya mikoani, hayo ya uafande mbona nilishasema nilikuwa nawazingua asee[emoji28][emoji28] Sema nahisi sasa hivi kawa captain... Haitumii tena G.XR mitaaa ambayo anapitaa siku hizi naona L300 tu.. Jadda ni wewe huyo au umebadili njia Pilot wangu
Nilikuwa nawazingua hawa Mkuu [emoji16][emoji16]Hivi ni afande kweli au geresha tu za kuwatisha wana ? [emoji2]
Hahaha mdogo wangu kwani wewe sasa hivi uko wapiAfande hadi akubali kutembelewaaa... Nikiwa Dodoma yupo Dar es salaam... Nikiwa dar es salaam yupo Dodoma [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Dogo hujambo, nilikukumbuka sana!Nilikuwa nawazingua hawa Mkuu [emoji16][emoji16]
Wow wow Jadda leo nimeiwahi Beautiful π macho πππ
Nenda Tilisho, Marangu Coach na Abood Service wanahitaji wadada wa kuhudumia abiria safarini na makondaHaha mdogo wangu haya yote umeyatoa wapi, niliwaambia mimi ni housegirl natafuta kazi ya ukonda wa mabasi ya mikoani, hayo ya uafande mbona nilishasema nilikuwa nawazingua asee
Mimi sijambo mkuu sijui wewe, sema hii Id umenipoteza kidogo, hebu nikumbushe wewe jana ndiyo ulikuwa nani vile [emoji3166][emoji3166]Dogo hujambo, nilikukumbuka sana!
Nilikuwa naitwa Zodwa.... πMimi sijambo mkuu sijui wewe, sema hii Id umenipoteza kidogo, hebu nikumbushe wewe jana ndiyo ulikuwa nani vile [emoji3166][emoji3166]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna hamuUmepata ban? Pole aisee
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Wow wow Jadda leo nimeiwahi Beautiful [emoji8] macho [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nilikuwa naitwa Zodwa.... [emoji16]
ππππ Thank you so much, mdogo wangu. Nimefurahi sana. Nimekuona huna deni tena. Barikiwa sana, tupo pamoja Jadda[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Thanks dada angu mzuri mzuri you are missed
Yani ilibaki kidogo nikutag ila nikajua lazima tu utaiona cause huwa naona upo active humu, this was for you na nilikuwa nahesabu muda hapa hadi saa fulani usipoiona nakutag uione ndio niifute, bora ulivyojileta
Manake nimekumbuka ile siku uliniomba nikakuambia siku simba ikichukua ubingwa ndio nitajipost ila haikuchukua, jana nikaona acha nitupie walau dada angu aione ili nisibaki na deni, maana sisi wengine siku hizi kuingia selfika ni mara moja moja sana
Mawazo yangu siku zote ni chalii ya chuo