Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwakwel walevi wana upendo wa dhati sana😍
Ndio maana hua wanaishi maisha marefu

Mbinguni tutapewa miili na nafsi mpya, hii ya sasa itasafishwa tutakua wapya.
So ni vema kuenjoy maisha mradi hutendi dhambi wala humkwazi mtu kwa makusudi
 
Kwakwel walevi wana upendo wa dhati sana[emoji7]
Ndio maana hua wanaishi maisha marefu

Mbinguni tutapewa miili na nafsi mpya, hii ya sasa itasafishwa tutakua wapya.
So ni vema kuenjoy maisha mradi hutendi dhambi wala humkwazi mtu kwa makusudi
Yule anasema tutoe sadaka kwa wingi
Zitafukia hizi dhambi ndogondogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza Mimi kulewa siwezi.

Inauzwa sh ngapi?
Hata nikilewa kidogo si mbaya, Nina stress mbili tatu hapa, hiyo inaweza saidia.



Nilicheka
Eti wewe pombe hunywi
Mziki nao hutaki kusikiliza,kijana mdogo unajibana[emoji38]
Nakukataliaga Sana Hilo swala lako la kesema wewe kulewa huwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…