Wanafuta tu wanapo amua.. hutojua aliefuta wala sababu...
Nyie mod nipengi ban la maisha .. maana hamna option ya kufuta account... mna u dictactor sana
Sema nini, wazushi hawa ndio maana hawanaga option ya kufuta account, maupambavu kama haya watu wengi wanafuta account zao... mie sijawai lala hata na dada mmoja JF sio kulala tu hata kukutana usoso kwa uso sijawai... ila mtu anatokea tu kukuchukia kama sio uchawi nini aisee