Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Niendelee kulewa mie πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Bora kulewa unakua zako busy kuyumba🀣🀣
Hata huna habari na ya wengine
 
Zero brain hua hawanisumbui kabisa, ndio maana nawapuuzia.

I was raised betterπŸ₯°
Kuna mtu alinambia pale hapakosekani 35+ 🀣🀣

Hee mtoto em niwe na adabu kwa mashangazi zetu. Wangewahi kuolewa wangenizaa kabisa 🀣🀣

I've been drinking, I've been drinking
I get filthy when that liquor get into me
I've been thinking, I've been thinking
Why can't I keep my fingers off it?
Baby, I want you, na-naaaa πŸŽ€πŸŽ€πŸ˜‹πŸ€£
 
Kuna akina sisi hatuachagi vita, tukipoteza pambano tunaanda lingine, hata miaka 10 tutafanya shambulio la kushtukiza
Hahaa hivi inakuaga hawana maisha mengine?
Like lazima umchafue mtu ndio upate raha?
Au maybe mtu anaishi boring life🀭
 
DT on the beat🀣🀣🀣

Ngoja nifungue chupa ya 2, aisee hii kitu ni tamu balaaπŸ˜‹πŸ˜‹
 
Kichwa chako we mtoto, sio kwa matusi haya hahaha.
Kuna watu wamebeba debe tupu mukichwa
 
Cigars on ice cigars on ice πŸŽ€πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…