Selfika na JF: Snap it. Show it

Weka vitu!
Usiishi kwa kuhofia walemwengu.

Manabii wenyewe hawakupendwa na watu wore

Shusha vitu vya kulalia embu
Mie wa kuogopa watruuu jf mnywani lol !!! Katruuuuu sijawahi ogopa mtu humuuu !!

Tatizo sina mpyaaaa!!
 
Haha Nilikutaga mchambo wa kidhungu mahala wakawa wanaunasibisha na mnywani wangu.
Hahahaaa..Mchambo wa kizunguu siupatiiii pichaaaa!!
Mie kuchambwa humu hawajaanza Jana wala juziii mnywanii long time kitramboπŸ•Ί πŸ’ͺ!!
 
Wewe Ndio ulikua una utoa huo wa kidhungu!!

Englishi Safi mnywani Kama ya Tinsley
😁😁😁😁😁!! Kumbe namie nilikuemooooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜! Itakua enzihizo nimetoka English course 🀠🀠🀭!!
Dakika sifuriiii ..baki hapohapooo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaa hujuii.nguo.
Mniache kabisa [emoji23]
Unakuta naonyesha nguo wanacheka
Eti nguo gani sasa hiyo??

Hizi gauni kama hii ya leo walinunua wao

Ile shamba dress nilinunuaga Mimi niliona nzuri hatari[emoji1787]
 
😁😁😁😁😁!! Kumbe namie nilikuemooooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜! Itakua enzihizo nimetoka English course 🀠🀠🀭!!
Dakika sifuriiii ..baki hapohapooo
Nyie wakongwe mna udambwi dambwi mwingi Sana humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…