Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwehh sijichetui hata kwa uzuri gani nawee mfyuuu!! 😏😏😏!!!!
Umeanza sio

Nilishakuambiga ungekuwa agemate wangu nisingekuacha basi tu Mungu hakupanga iwe hivyo.

Hayo macho yako mi hoi.

Na hizo hips na tako sasa 🙈🙈🙈🙈. Au acha niishie hapo.

Auntiee mzuri 🤗🤗☺️☺️. Unajijua vizuri tu. 😎😆
 
😏😏😏🚮🚮🚮🚮!!🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️

💤💤💤💤💤💤💤😴😴😴😴😴😴
 
Mnywanii siamini mawewe umeanza kuninafkiaa mnywanii sifa zina wenyewe hizooo sio miee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!

Waalaykum Salaam mnywanii!! Karibu tena selfikaaa!!
Hahaha tuko mita chache sana
Nataka nikujie niku suprize

Maana lile vumbi la frester lilivonipuliza; ndilo linanitia nguvu ujue
 
Ulale unono auntiee mzuri na leo iitwe siku 😪😪😪😪😇😇😇.

Sweet dreams malaika wa ulinzi akulinde ulale kama mtoto mdogo. 🤣☺️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…