Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Wee mbona haijatuna sasa. Piga nyingine Mwachiluwi iliyotuna sawa nasubiria ππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Bantu Lady ulisema unapenda kuangalia zipu ya suruali haya hii hapa angalia imefungwa au nifunge na kama View attachment 2688761
Aahahhahaha wewe mpumbavu kweliii itunieshe sasaWee mbona haijatuna sasa. Piga nyingine Mwachiluwi iliyotuna sawa nasubiria ππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Dr. Unamiliki bajaji?π
Bado ila natamani!!!βΊοΈDr. Unamiliki bajaji?π
Ngoja ntazicheki kule E-Bay !And now....??
Tafuta tuvae sare Old Blood!π
inaonekana bata zako bila bajaji hazijabambaππ au sio!Bado ila natamani!!!βΊοΈ
Mtoto mkali kabisa.BW
Weekend [emoji7]View attachment 2688906
Wapiii hapa brohhzzz??[emoji274][emoji274]View attachment 2688733
Ndyoooo dada akee, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji1665]View attachment 2688926
Kuna muda nakuwaga mwembambaNdyoooo dada akee, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Kipotableee. Pendezaa sanaaa.
Sasa wee ile shamba dress ya Loleza nani akusifiee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna muda nakuwaga mwembamba
Muda mwingine mnene
Hata sijielewi[emoji23][emoji174]
Halafu siku mtakayovaa nguo yoyote tu ambayo sikupanga ndo huwa naambiwa nimependeza
Ila sasa sijui nikijiandaaa ndo natoa boko[emoji23]
Kma Ile gauni ya blue juzi
Sikuambiwa nimependeza..
Ila sasa nyingine ambazo navaaga tu from no where ,nasifiwa[emoji1787]
Ni hela tu sina.....inaonekana bata zako bila bajaji hazijabambaππ au sio!
KhaaaaππππππππSasa wee ile shamba dress ya Loleza nani akusifiee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada usinicheksshee. Sasa uwe unatupia pigo hizoo mbna utasikia "psii psiii psii" woiiiih