Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiniambie mrembo🀣🀣🀣
Kwa anaekumbuka kampeni za mwaka 1995 mrema anagombea uraisi, nilishiriki kusukuma gari lake alipofikia buhemba hotel jirani na Misufini pr. Manyanza,
Buhemba ya Matiko tumeruka Sana disco toto. 🀣🀣🀣
 
Usiniambie mrembo🀣🀣🀣
Kwa anaekumbuka kampeni za mwaka 1995 mrema anagombea uraisi, nilishiriki kusukuma gari lake alipofikia buhemba hotel jirani na Misufini pr. Manyanza,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wew ulitak kuwa chawa 🀣🀣🀣
Shukuru hakushindaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wew ulitak kuwa chawa 🀣🀣🀣
Shukuru hakushindaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alikuwa anakubalika san, watu wakamwambia hakuna kuwasha gari, wakalisukuma mpaka uwanja wa zimani moto🀣 na bado hakushindaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…