Unaambiwa sio mzuri anaringia weupee, sasa km weupee rahisi nawee kuwa mweupee uringee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasemaaaajeeeeee.. lazima tukakukalie kikaoooo na rangi yako inayokubeba hioooo[emoji3526][emoji16][emoji16]!!
Nifundishe na mimi nimpikie JuniaNyie sikuhiz Ninapika chapat nzuri had nimeogopa[emoji3][emoji3] [emoji95]lain sanaView attachment 2686800View attachment 2686807
Hebu nae atinginyikee nisogeze masaa kwanii sh ngapi banaaa! Naweka siti Kabisa hapaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi amini Leo niliamka na mtu, acha nimcharue afu bila 7bu, yaan had anashangaa, mwenzenu sijui nikojee yaan nikiamka na mtu ntamtindinganya hata bila 7bu .
KaushaZimeunguaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan nna upwiruuu hadi ute ute unachafua kyupii shangaziiiItakuwa G hakuja weekend [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auweeeeee... kweli umepasukaaa balaaaaaa!!ππππ!!
Mambo mazuriπ
Watu na rangiiiiii zaooo mjiniiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera kwa mapishi, ukiachika hapo kuna mkono wa mtu akiπ€£Yah zilikuwa laini pia
The pain is real shougaaangu No wayπ€ π€ !!!Unaambiwa sio mzuri anaringia weupee, sasa km weupee rahisi nawee kuwa mweupee uringee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtahaha na makoro koro, watu wanawakaaa orijinaleeeeeee.
Na hawavimbi wala nn.
Wew Mwalimu kabisa ila nilichogundua Siri ya chapat nzuri ni kuacha ngano Kwa muda hata saa 1 baada ya kukandaNifundishe na mimi nimpikie Junia
Fanyaa hivyo lekcharaaa wakeeTukionana nitakupa mchongo
My wangu kuachwa kupo palepale π€£π€£π€£Hongera kwa mapishi, ukiachika hapo kuna mkono wa mtu akiπ€£
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]The pain is real shougaaangu No way[emoji1783][emoji1783]!!!
!
Nasubiria saa 4 nifurahii na nafsi yangu miee[emoji7][emoji7]
Walahii mwamba anafauduuuuuuu ππππ!!Wew Mwalimu kabisa ila nilichogundua Siri ya chapat nzuri ni kuacha ngano Kwa muda hata saa 1 baada ya kukanda
Nilipewa Kaz ya kuwapikia watu 8 chakula nikakanda ngano saa 11 nikarudi kulala nikachelewa kuamka sikuziroll na zimetoka lain ajabu
πππPicha tu dear au sijui sikuhiz nakunywa maji mengi π€£π€£Watu na rangiiiiii zaooo mjiniiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangaziii ake trambaaaaaa, rangi ya mtumee, rangi ya dhahabuuu.
Haihitajiii torch, pakuwekwa panaonekanaa penyeweee.
"Pa kuwekwa panaonekana penyewe"π€ π€ ππππππWatu na rangiiiiii zaooo mjiniiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangaziii ake trambaaaaaa, rangi ya mtumee, rangi ya dhahabuuu.
Haihitajiii torch, pakuwekwa panaonekanaa penyeweee.
Kuna watu hawana shukrani kwenye hii duniaπ€£π€£My wangu kuachwa kupo palepale π€£π€£π€£
ππAsante kipenziWalahii mwamba anafauduuuuuuu ππππ!!
Hongera sana mamaa masaptasapta!
Weee Kumbe ndio siriii!!??π€ π€ !πππPicha tu dear au sijui sikuhiz nakunywa maji mengi π€£π€£