Niunganishe mimi kwenye kazi ya uhousegirl
Nipo serious.
Niliona ABC wametangaza nafasi ya kazi
Bus hostess.
Jaribu huko.
Gari yao uhakika,Route ya Mbeya ipo na ndio gari ya uhakika siku hizi.
Ndugu zako Sauli wamegeuka matapeli baada ya biashara kuwashinda