Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo anazo nyingii, ninunulie mie kwa niaba yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nalipa fadhila kidogo[emoji23]
Hata ya miatano tu.


Siyo yeye anatupa kila siku,sisi hatujawahi kumpa.
 
Mimi niko Dar jamani natafuta mtu aniunganishe kwenye kazi za ukonda wa Mabasi ya mikoani specifically mikoa hii Mbeya, Kilimanjaro, Tanga, Dodoma, Mwanza, Arusha, Iringa wakuu nimechoka kazi za uhausigeli [emoji3064][emoji3064]
 
kazi gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…