Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,903
Achana na mambo ya kizungu wenzako kila baada ya mlo mkuu wanakuwa na vi-snack vya hapa na pale mixer tea au coffee na vijuisi kula ushibeNa usiku utakiw kula sana ukitaka nile mpaka nivimbiwe kuwe na ugali mrenda dagaa za kukaanga au nyama Choma au kukaanga na kachumbali iwe na pilipili nyingi
Inaumiza macho bana🤣Iyo hapo iPhone yako umefurahi
Yeah chipsi unaweza kula mchana na usiku na usihisi kitu .Chips na ugali kweli havikinai[emoji1787]
Ila wali na tambi sasa[emoji119]
Ngoja sasa nipige na tecno ya mshikaji 🤣Inaumiza macho bana🤣
Shida nikipakua kingi kinabaki labda nikianza gymAchana na mambo ya kizungu wenzako kila baada ya mlo mkuu wanakuwa na vi-snack vya hapa na pale mixer tea au coffee na vijuisi kula ushibe
[emoji23]
Mimi nimepunguza
Aleji ilinibana.
Ila nimesikitika nywele Nkamu [emoji3064]ungeuliza kwanza[emoji24]
😭😭😭😭Nkamu ungesemamimi pia nna aleji na harufu huwa naumwa kichwa ila siachi ha ha ha
Nkamu nilichoka kusuka na Dodoma hawajui kusuka unasuka gharama nywele mbaya hivyo ilikua inanibidi niwe namuita fundi wangu toka Dar ngoja nipumzike kwanza
Muongooo mama dogo janja, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Budget ni tight [emoji28]
Napendaa ila lilikoaangwa,Nyie hampendi mayai eeh
Liliochemshwaa halafu liungwe na nyanya je ?
Ndo mazuriiii, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Wa mchongo[emoji23]
Na matege yangu ya V
Intavoo ya wazee tena race hiyoo, mie kabla sijamalizaa washania kazii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah, naona Lizzy umevaa Kitto.....
Safi dearNapendaa ila lilikoaangwa,
Huku wazimaa, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Safi dear
Hamjambo huko ??
Nzuri dearHuku wazimaa, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Vipi wee huko
Usijar dear [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Nzuri dear
Tunashukuru Mungu huku .
Msalimie G pia
Hongera sana udugu akee nasubiria hio blessing kwahamuu!Antonnia
Shouzzz akee, nimenenepaa had naogopa, ulikua unasema nanenepa sana, nkawa nakukataliaa, jmos nilivaa suruali fulan, ilikua inapwayaa, eti ikanikaa tyt.
Nimekua km wakat niko 2nd yr, aaah nataka nikondee sasa.
Baadae ntakuwekea uonee chibonge mpyaa mjini.