Selfika na JF: Snap it. Show it

...Ana tabia nzuri, ana hiyo miakili, hana tako, utaoa??

Kwa kweli hapana kamanda. Huyo nitakuachia wewe πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yani ulikuwa kama Mimi Jana aisee nilishindwa kujizuia Kila nikiwaangalia vimo vyao na Ile miwa Nacheka alieniita ndo aliharibu nilivoikaribia Sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkoa gani huo ? Maana kwenye Majiji yote hakuna mtu anayekula limua lirefu kama yupo Upcountry
 
hichi ni nini mzeeπŸ˜‚

kuna mifupa na mifupa bana
 
We jamaaπŸ˜‚πŸ˜‚
Vijana wengi wanapenda tako kwa ajili ya ku-slap πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We jamaaπŸ˜‚πŸ˜‚
Vijana wengi wanapenda tako kwa ajili ya ku-slap πŸ˜‚πŸ˜‚
You slap it and watch it move in sloo mo utafikiri unafanya majaribio ya kuhakiki Newton's laws of gravity au warping of space-time katika Relativity ya mwamba Einstein πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

Nachangamsha genge tu braza usinichukulie siriazi. At 76 hata macho hayaoni vizuri....
 
Una ufala sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ majaribio ya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…