Sisi ni walevi tunakesha bar
Tunatumia hela mpaka jua lianze ng’aa
Kama pombe we hauwezi
Hapa hapatokufaa
Nenda meza za hivi wenzako wanaoshangaa
Wenyewe tuna kikao
Tuna kikao
Tuna kikao tuna kikao
Eeeeh tupishe bwana
Tuna kikao Tuondolee kelele
Tuna kikao Tupishe bhana
Tuna kikao Eeeeh tuna kikao
Wazee wa nyumba tutajenga mwakani
Kwanza heshima mezani
Kikubwa ghetto na bebe iwe ndani
Na mama ale nyumbani
Tukizikosa kitonga ganda la ndizi
Tukizipata ndo maboss matumizi
Tukiwa bwi kuhonga ving’ang’anizi
Tunatakaga ile kitu ya uzinzi
Jamani sisi ni walevi tunakesha bar
Tunatumia hela mpaka jua lianze ng’aa
Kama pombe we hauwezi
Hapa hapatokufaa
Lavalava anawatetea uku walevi wote mqoutee hapa