Kumbe unapakumbuka vizuri, kivuko cha Panton kimekufa baada ya kukamilika kwa daraja hili.
Hali ya barabara miaka ya zamani ilikuwa mbaya sana, lakini kwasasa kuna ujenzi wa barabara ya Lami unaendelea. Ukikamilika inaweza kuchukua saa 1:30 kutoka Ifakara hadi Mikumi kama una usafiri private, lakini pia ukitaka kufika Songea kupitia njia hiyo inaweza kuwa rahisi kuliko kupitia Njombe au Mtwara.
Karibu tulime Mpunga Mjukuu