Selfika na JF: Snap it. Show it

Duh
Umbea umenipita[emoji23]

Hebu gusia hata kidogo,
Si ajabu hata mimi nipo kwenye msala wa kusemwa tofauti na nilivyo.
Haha noma sana
Yaani tunajiachia hapa kumbe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wengine roho zina....
 
Hee
Kuna nini?
Isije kuwa picha zetu zinanangwa

Ama ni kuhusu Nini?
Nihadithie 🀣
Hee
Kuna nini?
Isije kuwa picha zetu zinanangwa

Ama ni kuhusu Nini?
Nihadithie 🀣
Kama wanamind vitu vidogo , hivyo vya picha si ndo kabisa .

Can't write it here na sipendi maneno since inanihusu sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…