mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
Naijua hiiπtukuite mini Adult πππ
malizia sentensi wewe acha uogaπila wanakuwa vizuri
Yeaha wanajiita vijana wa makamo .Wazee waliochangamka hakuna kijana wa miak 45πππila wanakuwa vizuri kwakweli sisi tukifika 45 ni vikongwe
Nakuleta wapi Akhu ππNaijua hiiπ
Unanileta tu mdogo mdogoπ
Laiti ungejua jinsi nilivyo hopelessπNakuleta wapi Akhu ππ
Jf humu mnaojifanya watoto ni wakubwa ππ.
Upo unazunguka tu kwenye kiti hapo boss .
No , im not even thinking about that .Laiti ungejua jinsi nilivyo hopelessπ
Young, dumb, and broke
gen z ndo tumeanza utu uzima sasa....A bit crazy bado .
ππππEendiwoooooooo sis asisahau na ya kutolea!π
Karibunigen z ndo tumeanza utu uzima sasa....
πππJamani mbona umeenda mbali hebu kma Kuna mzee apite tumuone nielezee wako vizuri wapi,πππmalizia sentensi wewe acha uogaπ
Church girl, [emoji915]Jambo Moja nimelitaka Kwa Bwana,
Nalo ni hili;
Nikae nyumbani mwa Bwana, Siku zote za Maisha yangu.
Niutafakari uzuri wake. View attachment 2679242View attachment 2679243View attachment 2679244
Salimia kaka yako πVyema sana
Habari yako
Njoo Kanisani CocahChurch girl, [emoji915]
No, sequence nzuri sana Hii πππHutak auπ
Shikamoo kakaSalimia kaka yako π
Kuna Nini tena?Ila humu ndani kuna unaaa
Yaani tunaandika tu kujiburudisha lakini watu wanatu label sivyo kabisa
Sijapentaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunapakwaza matope hivi hiviKuna Nini tena?
Nihadhithie kidogo [emoji7]