mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
babu you're rich๐View attachment 2677018
Nikiambiwa nitoe ushauri kwa Vijana, ni kuwa mjitahidi kuzaa mapema ili kusomesha mkiwa bado mna nguvu.
Imagine leo hii Babu yenu nalipa ada za Vijana kwa hela ya pension ๐คช
Hello Monday ๐ฅ
Hatari sanaView attachment 2677018
Nikiambiwa nitoe ushauri kwa Vijana, ni kuwa mjitahidi kuzaa mapema ili kusomesha mkiwa bado mna nguvu.
Imagine leo hii Babu yenu nalipa ada za Vijana kwa hela ya pension [emoji2957]
Hello Monday [emoji1635]
Hahaha.................shule za kawaida ila ni wengi, si unajua Wazee wa zamani tulikuwa tunazaa watoto 6 kuendelea ๐คช๐๐๐Hatari sana
Watoto wa Feza,Babobab na Tusiime hao
Tungi inafanya nisocialize na Wazee wenzangu as Bongo hakuna vituo vya kulelea Wazee ๐คชbabu you're rich๐
ndo maana tungi kwa sana
Grandchildren are the crown of the aged, and the glory of children is their fathers. Pambana mkuuYaani hapa nimempiga kiswahili Mwalimu Mkuu hadi amekubali nipeleke nusu nusu.
Imagine hapo nina watoto 8 tu ningekuwa nao 12 si ningetembea naongea mwenyewe ๐ ๐
Hakika Mkuu, ila ningejua ningezaaga mwaka 47 saivi ningekuwa nakula pension pasipo presha ya kuambiwa Baba shule tunafungua Jumatatu hivyo naomba ada ๐คช๐๐๐Grandchildren are the crown of the aged, and the glory of children is their fathers. Pambana mkuu
Kweli nilichemka, kuna kabinti kalinifanyia ule mchezo wenu vijana mnapenda .......aisee kuja kushtuka tayari nikajikuta watoto wa uzeeni.Hapo ulichemka๐
Pesa ya pension ni kwa ajili ya kula bata na gambe za uzeeni, pesa za ada ulipaswa kuziandaa mapema. Lakini bado hujachelewa mkuu, hata kuwa na uwezo wa kusomesha kwa pension ni jambo la kushukuru. Kuna wenzako walizaa mwaka 47 wakaacha watoto wanachunga mbuzi na kondoo tu๐ ๐๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa yaani
Hapa tumechanganyikana na matajiri
Wanakwapua vocha ambazo tulitakiwa majobless tuchukue.
Au kama vipi tuunde tu grp letu PM jamani.
shkamoo mzee....
mondays are always trash๐Marahaba bro wangu.
Nimekumic mla mihogo mwenzangu.
Kulikuwa na ka u busy kidogo ndio maana sijachangamka. Niko good now
mda mbona....Umemaliza UE
Dada mic u mnoo, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
ndio.... ila hamna kupoa bado kuna mambo ya field๐Ok. So unazunguka tu mwanjerwa hapo ๐
Field za kiwaki sanandio.... ila hamna kupoa bado kuna mambo ya field๐
ndo ya mwisho hii hainipi stress....Field za kiwaki sana
All the best , kwangu hazikuwa nzuri .
Ah nicendo ya mwisho hii hainipi stress....
shida gani๐Ah nice
Wanawake tunapitia shida kwenye field kweli .
Sitosahau nilivyochambwa ๐๐
Kazi mnayo๐ Kuna sehemu nilifanya tulitengenezewa hadi magroup ya whatsapp....Kutongozwa ukiwa field
Nilifanya field serikali ya mtaa jamani ๐๐๐๐ .
Mjumbe bhana akanipenda ,
Siku moja nikawa naenda zangu date ,tulikuwa ofisini wawili , nikawahi kweli kutoka kabla ya saa tisa na nusu .
Sasa nikapitia njia ambayo siitumia kufika napoenda , duh kesho yake sasa .
Nafika nakutwa nachambwa bila sababu halfu nilipitia saluni asubuhi
Yule mjumbe kanichoma kwa mwenyekiti wa mtaa aisee , na ni mwanamke anaongea huyo .
Ikanibidi niache na field siku hiyo na sikuwa nimepanga , wambeya sana
Wazee wa kazi wanawasubiri ๐๐.Kazi mnayo๐ Kuna sehemu nilifanya tulitengenezewa hadi magroup ya whatsapp....
Kumbe ni mchongo wazee wa vitengo wanazama inbox๐