Selfika na JF: Snap it. Show it

Itabidi tumuombe kaka Mshana Jr atufungulie uzi wetu ma jobless tuwe tunatupia vi vocha vya kupigana tafu huko

Ili tuache hapa watu wa selfike tu kwa uhuru
Kabisa yaani
Hapa tumechanganyikana na matajiri
Wanakwapua vocha ambazo tulitakiwa majobless tuchukue.


Au kama vipi tuunde tu grp letu PM jamani.
 
Ada haijatimia mkuu, fanya kuiongeza kidogo. πŸ˜…
Yaani hapa nimempiga kiswahili Mwalimu Mkuu hadi amekubali nipeleke nusu nusu.

Imagine hapo nina watoto 8 tu ningekuwa nao 12 si ningetembea naongea mwenyewe πŸ˜…πŸ™Œ
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…