Selfika na JF: Snap it. Show it

Antonnia

Baadae nakuwekea TBT ya msambaaa, ile ya kung fu km Jackie Chan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kaa mkao wa kusubiriii.
 
I mean Umependeza sanaa shosss anguuu tachi zenuuu hiziiii lol[emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimezeeka bhanaa, sahivi cnaa jambooo.
Hata kupanda kwa ngazi nitake photo, ntaangukaaaa.
 
Reactions: 511
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Baadaeee mida yetuu ileee.

Leo narudia Tbt, nakumbushia enzi hizo, Selfika selfika kweliii.
Ukija nistueee namieee uduguu!! Enzi hizo tulikua huru sana humuu hakukua na mapepe kabisa nipo nawaza saivi ningethubutu kutuma vile vipensi chupi Humu mimi uwiiiii!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!
Acha nizeeke tu kwakweli πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„!!
 
Reactions: 511
Sijui imetokea wapi
Inanitia uvivu na haya mafua
Najihisi nipo Antarctica πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mafua dawa yake ndogo
Fanya kumcheki Yoda hapo
Utakaa sawa na baridi itaisha kabisaπŸ˜…
 
Ukija nistueee namieee uduguu!! Enzi hizo tulikua huru sana humuu hakukua na mapepe kabisa nipo nawaza saivi ningethubutu kutuma vile vichupi Humu mimi uwiiiii!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!
Acha nizeeke tu kwakweli πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„!!
Unasema kweli πŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…