Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona unatujambia lakin
🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️😊
 
Reactions: 511
Fanya kuchagua iliyonona sana😅😅
Lol hata sina jipya hio ilikua ya muda mrefu sana spesho kwa ndugu mjumbe kitrambo sana alipotea humu!!
Sikuhizi Nimewaachia uwanja Vijana machachari!
 
Kam kauwaaa ndugu mjumbeee sidaiwi selfii sidaiwi chama nimeolewa nina watoto na sitoki na mume wa mtu[emoji2956]!

Spidernyoka have a good time and enjoy your weekend ndugu mjumbe!!
Sijaonaaa tafadhariii, ila hapo kwa mume wa mtu uongo.
Unatokaa nae bhanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hio ya muda mrefu sana sikuhizi nimekua chembambaaa kama cocaaa namentain nakunywa maji ya moto ya limaoo na nimepunguza kufakamiaa[emoji4][emoji4][emoji4]!!
Imagination zanini tenaa lol!
Hebu weka pichaaaa, mwenzio sahivii nanenepaaaaa.
Nimelipataa bwanaa, kudekezwa na kulalaaa.
[emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178], mapenzi yametukuta wenyeweee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijaonaaa tafadhariii, ila hapo kwa mume wa mtu uongo.
Unatokaa nae bhanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili nigundue nini mie Wee shendwaaa!! Nasemaaaa
Pepoo trokaaa!!
 
Reactions: 511
Hebu weka pichaaaa, mwenzio sahivii nanenepaaaaa.
Nimelipataa bwanaa, kudekezwa na kulalaaa.
[emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178], mapenzi yametukuta wenyeweee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina jipya udugu akee nilishairudia mara kibao humu!!
 
Reactions: 511
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…