[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaume bwana mfyuuu
Venye unanipenda dada kipenziUvumilivu kwakweli umenishinda mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mecheka mimi jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ngoja nimwambie ananificha jamani mpaka nashindwa kuingia jf babe
Naelewa sana jamani dear!
EeeehhhMuongoooo huyo..
Hatujaachana wala..
[emoji23][emoji23][emoji23]Baba J nasema niwaaacheee!!
Muachane mara ngapi sasa jamani
Hahahhahaha[emoji1787][emoji1787] na watoto kazaa Baba JJ
Kumponzaje sasa baba jjUnakosea shemeghi
.
Afu utamponza sakayo...
AiseeeRudi post za juu huko....
Dada yako ana michepuko kama nini ...
Kwakweli dada nimeumia kama vile T ni babe wanguVenye unanipenda dada kipenzi
Nimekumiss pia dear [emoji8][emoji8] nitajitahidi jamani nisipotee hiviUsipotee hivyo jamani eti,, nimekumiss mimi..
Yaani nimeshangaa umeshindwaje kunipa hizi habari za baba jj
Siku nyingi saaana jamani dada!!Kweli lazima maisha mengine yaendelee na vile Mungu kaumba kusahau najua umeshamsahau dada
Now usiku mwema for real, veeery sleepy. Msinipigie kelele mkaniamsha tena.
Kwa ndugu yangu naingilia hata kama mtapatanaNani kasema tumeachana.
Wewe subiri in few hour utaona hata tunaagana kwenda kulala..
Ugomvi wa wana ndoa kaa nao mbali...
Venye unanipenda dada kipenzi
NakaziaEbu acha kumsingizia