Dada bora ujionee tuu!!
Ila mimi nishazoea maumivu
MmhAcha basi na wewe ...
Juzi tuu hapa ulitaka kiniacha..[emoji26]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wala jamani
[emoji16]
Au Ndio wewe ulikuwa na vototoz pale pembeni yangu
Niwaacheee baba J
Uvumilivu kwakweli umenishinda mimiHahahahaa...
Wewe endelea kutumia brouza..! Shauri zako
Eti Baba JNaona unakazia..
Acha ujinga basi..[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona baba j jamani kutoka baba naah
Amewowa dadaMbona baba j jamani kutoka baba naah
Shangaa hebuSakayo anaingiaje apa jamani
Na umbea wako wote hizi habari za baba j umeshindwa kunipa
[emoji1787][emoji1787] na watoto kazaa Baba JJAmewowa dada
Usiumie dear jamanii, maisha lazima yaende mbele jamanii!Hapana jamani nimeumia mnoo yaani mnoo
MmmhMuongoooo huyo..
Hatujaachana wala..
No commentMuulize Sakayo hebu...
HAPANAHahahaaa....
Umegundua shunie anatumia brouza eeh?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli lazima maisha mengine yaendelee na vile Mungu kaumba kusahau najua umeshamsahau dadaUsiumie dear jamanii, maisha lazima yaende mbele jamanii!
Eti Baba J