Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwanza wenye hela full stress
Huku wanawake wanamfata na kumtongoza [emoji23][emoji23][emoji23]

Bora upate wa kufanana naye na kawaida hakusumbui sana .

Sikiliza wimbo ule diamond Yatapita ,naupenda sana .
Na Kuna wasio na hela pia full stress

Ni kuomba tu Mungu Upendo wa kweli uwepo bila kujali pesa ipo au haipo..


Kuna watu wana pesa na wana true love
Kuna wengine hawana pesa na wana true Love vilevile

Kuna watu pesa wanayo na ni vichomi
Na Kuna vichomi plus,pesa hana na stress kama zote.
 
Hao ndo wanaume ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Yani ndo maana siku hizi wadada wanazaa tu watoto na kutulia .
No stress .

Kuna msemo huo , its better to cry in a Mercedes Benz than on a biycle
 
Hao ndo wanaume ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Yani ndo maana siku hizi wadada wanazaa tu watoto na kutulia .
No stress .

Kuna msemo huo , its better to cry in a Mercedes Benz than on a biycle
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Ila Dah
Kuzaa bhana zaa na mtu ambae Yuko tayari kuwa baba
Unaweza pata mimba ukaachwa sikuhiyohiyo iyo Benz ukaiona tu inaputa๐Ÿ˜€
 
I realized in hindsight
That hurting you wasnโ€™t right
I figured out much later
That I behaved like a loser
After some introspection
I admit my wrong decision
Please accept my apology
Girl, I am very very sorry
Hehehee mtumie na muamala sio maneno matupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ