Kabisa plus juzikati nilisukaga weaving likanikata nywele mbele then alienifumua akazikata kama zote sasa dawa naona ndio inataka kuzinyonyoa ziishe kabisa nianze moja!!
Weeee anawasaidia Wapi mtu ukae tu kumtegemea mwanaume unabweteka tu ndio dharau nananyanyaso yanaenda anzia hapo!! Japo sio kwanza wote ila hio mbaya sana asee!