mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
mwanaume akibakwa ujue alitaka mwenyewe๐Na unavyoombea hilo litokee fasta. ๐
dogo mshamba_hachekwi ๐คฃAwwwh asante shem kama shem ๐๐๐
Mimi na best friend wangu ๐๐๐Mnaomba na nani mbona una fail big time.
View attachment 2669185
Weh ngoja nitulie basiJichanganye kwa huyo dogo mshamba_hachekwi likujie jeshi๐คฃ
Hawataniwi hao, anajua boom lipo, shauli yako๐๐๐mwanaume akibakwa ujue alitaka mwenyewe๐
sina boom ataandika maumivu๐Hawataniwi hao, anajua boom lipo, shauli yako๐๐๐
hofu imepungua kidogo๐Mkubwa wapi ๐๐
Mie ni mini adult ๐๐
sina boom ataandika maumivu๐
Hahaha usiwaze mtoto mwenzangu .hofu imepungua kidogo๐
Naona unamvutia gizani mshamba_hachekwi utajua hajuiHahaha usiwaze mtoto mwenzangu .
muache dada wa watu๐Naona unamvutia gizani mshamba_hachekwi atajua hajui
Siwezi kumchuna kihivyoNaona unamvutia gizani mshamba_hachekwi utajua hajui
Cha mtu huliwa na mtu bromuache dada wa watu๐
Siwezi kumchuna kihivyo
๐๐๐
Yaani hizo dawa zenu mnaziweza wenyewe ๐Ziko fresh na hazijakamaa hata
Kuna sehemu tu nimeungua
Ni kama tu kuungua kwa relaxer .
Dawa ni kali sanaYaani hizo dawa zenu mnaziweza wenyewe ๐
Siku nawekwa mara ya kwanza,mama yangu alikaa pembeni
Alivyosikia tu nasema pembeni kumeanza kuuma akasema muosheni mtoto haraka๐๐๐
Zilioshwa nywele zikawa vilevile kama hazijapakwa dawa๐
Ukitaka uzuri sharti uzurike.Dawa ni kali sana
Siku jamani niliunguzwa hdi kwenye sikio . ndo nikaona hapa ni shida tu tunazitafuta .
SahihiUkitaka uzuri sharti uzurike.
Unaona kuunguzwa kwa juu juu tu, vipi athari za hiyo dawa inayoingia mwilini.
Usihame, urembo ni bora shem langu. Vumilia tuSahihi
Athari ni kubwa sana , ndo maana nataka nihame huko kwenye dawa kali .