Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Saluni wanazingua sana , mimj napenda kwenda saluni za wanaume kwanza wanajua kustyle nywele .

ukitoka na umependeza na nywele zavutia .
Sanaa
Wengi wapo kibiashara , kwahiyo usipoijua nywele yako ni shida
 
Nilitumia olive baada ya muda aisee ikanifanya niwe kituko

Nilikosea na kutumia ya kopo
Huku kwenye kichogo zote zikakatika .
Ikabidi ninyoe mwaka ule .
Washenzi ,waliniharibia nywele,nimehangaika sn
Maana baadae walitoa aina tofauti km 8 hivi
Ile nayotumia ikaondolewa kabisa sokoniπŸ™Œ
Nimeteseka mpk kuja kutulia kwenye mega
 
Washenzi ,waliniharibia nywele,nimehangaika sn
Maana baadae walitoa aina tofauti km 8 hivi
Ile nayotumia ikaondolewa kabisa sokoniπŸ™Œ
Nimeteseka mpk kuja kutulia kwenye mega
Kha kumbe
Ba ukute na mimi ilikuwa hivyi
Nimekoma kabisa

Mimi ilikuwa 2017 hivi ndo nilitumia dawa yao ,

Mega nzuri sana ,na imetulia .
 
Yaaani unakuwa kama mtumwa
Baada ya muda uweke tena

Wenye hela za mawazo za kuunga ,hiyo mikiki hatuwezi
Yani mtumwa mtumwa πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo maana nimeahamia huku kwa muhogo .

Dawa feki sana yaani unapaka leo baada ya siku nne , nywele hzo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna wakati kila baada ya mwezi napaka dawa na bado steaming .

Cheap is good sometimes
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…