Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Vocha ya sh ngapi?[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059] Mjep njoo talaka imechanwa huku, alafu baby coca anapewa vocha nyingi na baby wake [emoji17][emoji17] what about me?!!
Nataka mivoucher kwanza baby wangu una pesa [emoji12][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
She's really good, hana shida kabisa
Sikio la kufa😅Si nilikwambia kambake bado unasubiri?!
Uwiiiiiiiiii nimeanza tena [emoji134] nimeshau km baby yupo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo yalikua mengine, mioyo ndio imefanya tuwe hivi leo
Boss umauliza ya sh ngapi, tuma tu mpaka aseme inatosha.Vocha ya sh ngapi?
Usiende
Nice mkuu.Yap, nilishamsahau mwamba, nakumbuka sura tu. Ni hiyo movie
Omba Cute Wife akupe somo aliwezaje kumpata Countrywide . Bila technic hunipati
Wishing you all the best
Mpendane kama tulivyoagizwa na Mungu na muijaze dunia .
Kali sana kwa kweli, hausinziiNi filamu ya 2007, lazima niitafute.
Wewe ndio umenifanya mimi nibadilike, nilikua active kwenye jukwaa la siasa na kubishana na chadema. Kwa sasa nipo busy jf na wewe tu
Iimeisha hilo.Boss umauliza ya sh ngapi, tuma tu mpaka aseme inatosha.
Hana verses huyo, ajifunze kwa waliofanikiwa kwanza.
Siku hizi nimekuwa outdated sana na movies. Ila kipindi sina majukumu nilikuwa na library ya 10 TB single movies.Nice mkuu.
Mpe somo mdogo wako, kunipata lazima ajipange sana Tinsley[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka
Kama ni mpenzi wa action, tafuta pia Sicario Day of the soldado.Kali sana kwa kweli, hausinzii
Vocha ya sh ngapi?
Sikio la kufa[emoji28]
Boss umauliza ya sh ngapi, tuma tu mpaka aseme inatosha.
Poa nitaifanyia kazi hii.Kama ni mpenzi wa action, tafuta pia Sicario Day of the soldado.
Jina lingine inaitwa Sicario 2, auawe sio poa.