Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Waliipenda sana.,wakaniahidi kunipa oda Kila sherehe ikitokea.
Namshukuru Mungu kwa kweli.
Kupamba mtihani
Halafu usipofanya mazoezi muda mrefu,siku ukipamba mkono unakuwa mzito sana.

Sasa nyumbani nimefika saa4
Kuanza kuwasha mkaa kupika
Ziive
Zipoe
Nitengeneze butter
Nianze kupamba

Yaani nimeteseka aana
Duh pole mwaya
Mungu akuinue upate hata oven aisee inakuwa rahisi sana .
Nimeyaona juzi , yanavutia ...
Hongera chef wetu ....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yameisha baby ss hivi naacha kila kitu wewe ndio final say mimi kazi yangu kusikiliza tu [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Thank u my baby, I feel so safe with u. Even though sometimes we hurt each other and things have happened between us
 
  • Kicheko
Reactions: 511
My Best Movies.
Filamu zangu nilizo zikubali.
images

images

Flight movie Kali, Rubani mraibu wa vilevi /dawa za kulevya kama cocaine na pombe, rubani huyo hodari muda mchache kabla ya kurusha ndege anapiga mitungi, hitilafu inatokea kwenye ndege na chanzo Cha hitilafu si ulevi wake, Kwa ujasiri wa hali ya juu anafanya maamuzi magumu na kuokoa maisha ya abiria japo yupo nzwiii, baada ya ndege kutua kwenye makazi ya watu na anapoteza ufahamu anajikuta hospital wamempima damu na kugundulika alikua yupo tungi, noma inaanzia hapo akitaka kupoteza ushahidi. Movie Kali sana.

images

Hii movie ya 2006 lakini huwa naikubali sana, story ni mwaka 2027, baada ya uchafuzi wa mazingira, vita na machafuko ya kisiasa binadamu hawana uwezo tena wa kuzaa Kwa takribani miaka 20, anatokea binti mdogo ana ujauzito anaitwa Kee, kila mmoja anamtaka mtoto aliyezaliwa, vita inaanzia hapo panakuwa hapatoshi, siwezi elezea vizuri unaweza soma Plot IMDb, ni movie Kali sana hutojutia.

images

Kama unapenda Love Story tafuta hii movie inaitwa Acrimony, love story Kali sana, yupo Taraj P Henson. Nadhani ni one of the my best love story of all time.

images

Kwa India/Bollywood japo si mpenzi sana, lakini ANDHADHUN movie Kali, story Kali, love story na action za kutosha, jamaa alikua anaigiza kipofu katika harakati za kujitafuta, akiwa hodari wa kupiga piano akifanya kazi kwenye bar, anaitwa kwenye nyumba ya bilionare mmoja ili akapige piano, akiwa hapo anashuhudia mauaji ya bilionare huyo na muuaji anajua jamaa haoni ni kipofu, msala unaanzia pale wamemshtukia si kipofu na ili kupoteza ushahidi lazima auawe.

Movie za Zombies, Horror na fantasy si mpenzi sana japo kuna chache nilishazipenda kama Day Shift ya Jamie Foxx na nyingine baadhi, lakini kuna wadau wengi wanazikubali.
images



List ni ndefu, nimechoka kuandika, I wish tungekuwa tuna share, lakini watu wangu wa Jf nawaza iwepo platform ya kushare movie Kali na download links ukiachilia Telegram kwenye magroup ya malipo nowdays kuna restrictions sana, muwe mnashusha movies for free no malipo kabisa, Hapa kuna raia wanajua movies nyingi... Am thinking issue ya copyrights infringements, inabidi isivuke mipaka ili DMCA wasiipige chini, but nitafanikisha tu namna ya kufanya, Nina Google drive ina 100TB na Sina Cha kuifanyia.

Love you all, Good Morning..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuzidi wewe?!! Umenifanya niache mapepe yote!
Wewe ndio umenifanya mimi nibadilike, nilikua active kwenye jukwaa la siasa na kubishana na chadema. Kwa sasa nipo busy jf na wewe tu
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Back
Top Bottom