Wow Hongera sanaMimi sina hata kibanda Atown rafiki yangu
A town namiliki kirikuu tuu
Kirikuu ndo nnMimi sina hata kibanda Atown rafiki yangu
A town namiliki kirikuu tuu
Depal njoo umemueleze aunt huku kirikuu ni nini?Kirikuu ndo nn
Ccy nakwambia Intelligent businessman alinisusa.Umemuona sis akee Lovelovie uliekuwa unamuulizia kila dakika??? Hapo nafsi yako itakua kwatuuu
Selfika kidogo mremboWow Hongera sana
Hahaha mkuu unaishi wapi? Isamilo ama masakiKirikuu ndo nn
Anajichetuajee sikuhizi ππ zakee!!Ccy nakwambia Intelligent businessman alinisusa.
Unataka kuhongwa?Nipe namba yake
Umenougaajee π€©π€©π€©!!
Naishi mabondeni hukuπHahaha mkuu unaishi wapi? Isamilo ama masaki
ngoja niingie stoo kutafuta Kapicha ka kirikuuπππ
ππAna balaa huyo.
Nilikuwa najaribu kuvaa wigπππUmenougaajee π€©π€©π€©!!
Ni weaving au umeweka dawa u hair wako????
Geuka mbele tuone chifesi inavoupendezaa zaidi!!π€©Nilikuwa najaribu kuvaa wigπππ
ageuke na nyuma kiduchuu tu πππGeuka mbele tuone chifesi inavoupendezaa zaidi!!π€©
Mie nilifeliiigii kingreza mjombaa nitasfiriee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz π!πππ Utajiri nje njeView attachment 2663275
Kigari kidunchuKirikuu ndo nn