Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Simple but classy...π
Kwa hyo mim ni kizuka au sioHamna mtu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umejifunza kwa lazima!!!π€Navuka feri kila siku [emoji38] hadi nishazoea
Mungu huyuu
Amenipeleka sehemu ya kuvuka maji
Acha tu[emoji23]Umejifunza kwa lazima!!![emoji847]
Ngoja nianze kusikiliza moja moja hapa ππππ
Ulivokua unaogopa ulikua unawaza hivo sana Ndiomana umeota hahahaa!!!Acha tu[emoji23]
Nilikuwa naogopa siku za mwanzo
Siku hizi nishazoea
Tena nashika hadi maji[emoji38]
Hata kuwe na mawimbi vipi hata sijali
Umbali mfupi vile lazima tuokolewe tu.
Usiku Leo nimeota kidude kile kidogo seataxi eti kimepinduka juu chini.
ππππUnanichukia, unanikunjia riziki inakutia kiwewe, basi nakwambia wanavyoitikia Mama Amina ndo wewe ππ€£
Ila hizii nyimbo jamani.
Ngoja niendelee na Mbosso tu mshamba_hachekwi
Namtania tyuu π!πππKwanini kibamia
Midude mingi kuliko pair za viatu π ametisha sana
Mhm huyo anaogopesha asee sio kwa pairs hizoo! Au ni mfanya biashara uwii!!Midude mingi kuliko pair za viatu π ametisha sana
Si unaona kabati la nyumbani kabisa hilo πMhm huyo anaogopesha asee sio kwa pairs hizoo! Au ni mfanya biashara uwii!!
Ooh kumbe!! Ngoja nirudi kuchunguza kabati la nyumbani linavokua!Si unaona kabati la nyumbani kabisa hilo π
Yani no hatari alafu size zenyewe za kupasua kizaziMidude mingi kuliko pair za viatu π ametisha sana
Mbona ukinitag sioni yani labd ukiniquote.Hamna mtu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona ukinitag sioni yani labd ukiniquote.
Na hata ukinitumia emojis zinakuja kwa maandishi shida ni nin?
PM yangu password anayo shemeji ako.Njoo pm nikuelekeze
PM yangu password anayo shemeji ako.
πππNipe namba yake