Selfika na JF: Snap it. Show it

Awe na Hela wapi watu wasiosoma alafu ajue kuongea kiingereza mbona utakoma wasomi hawanaga hizo 😀😀😀
Wanaume wasomi hawana mbwembwe na siku wakiongea unajichekea tu moyoni ila Hawa Wala makande wenzetu Hawa😀😀
duh, pole na hongera....

kwahiyo huu ukame wa miezi 4 unaenda nao tena mpaka mwakani kusubiri mchumba😬

hatari.....
 
duh, pole na hongera....

kwahiyo huu ukame wa miezi 4 unaenda nao tena mpaka mwakani kusubiri mchumba😬

hatari.....
Kwakweli sidhani sitaki unafki last year niligombana na mpenzwangu nilifikisha miez 8 nilikuwa kwenye depression Kali lakin niliteseka mno mwaka huu nafikir sita sitoboi na nikitoboa nipo mahututi 😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…