Selfika na JF: Snap it. Show it

Sitaki aisee , mule wamezidi duh .
Nalinda my mental well being , so it's important for me kusoma vitu positive tu .

Yani mie hata ukiniambia cha kutisha sitaki .
I need to protect myself .
Makuzi yako ya Utotoni ulidekezwa sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anza ku move on.
Dunia hii haitaki watu wenye attitude kama zako ulizo nazo Sasa hivi
 
Usipendelee kusikia Yale unayoyata Wewe mwenyewe. Ili ukomae Kihisia na Kiakili ni lazima mambo yote uwe tayari kuyasikia na kuyapitia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Miss Tins
Sahihi sema humu mtandaoni ni noma ...
Ni character yangu nahisi kupenda vitu positive sana .
 
Watoke wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahhahah sitaki bhana usije sema im picky sijui nini .
Jikubali bhana hata kama una muonekano kama wa Whoopi Goldberg. ( Mwalimu wa Sarafina)🀣🀣🀣
 
Hapana you're wrong
Im not boring during dates , ni mimi kuamua tu niwe na mood gani πŸ˜‚πŸ˜‚.
Unajichanganya mwenyewe 🀣🀣🀣
Mimi najaribu kukuweka sawa we unapinga . Umezikataa dates hapo juu halafu Sasa hivi unasema Niko wrong
 
Makuzi yako ya Utotoni ulidekezwa sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anza ku move on.
Dunia hii haitaki watu wenye attitude kama zako ulizo nazo Sasa hivi
Hamna hataa
Nilienda boarding nikiwa la tatu , hakuna kudekezwa wala nn .

Kuwa positive sana ni nzuri maana hata upitie changamoto ngapi bado utasonga mbele .

Hii ni trait nahisi si rahisi kutoka hivyo .
 
Boarding za Miaka ya 2007 ? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama upon kwa Wazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…