Hahah nyimbo tu sikuhiz napenda kuimba sana Yani nikiwasina kazi naomba Yani hizo lyrics naziandikaga nikiwa nasikiliza ingekuwa wanaruhusu voicenote ningekuwekea ufurahi navoimbagaSaut kama chura πππ
Bora umenisemea, mbali shikamoo ukiamka mwili unauma umepigishwa kwata la nguvu usiku ndo unapewa afu tatu unywe chai akirudi Tena usiku ugomvi unaamka umenuna chai hainyweki