Kwani hawajitokezi basi ila kunamtu naona kaniroga anataka nifufuke na mbwa π€£π€£π€£Kwahiyo akijitokeza mwenye ubavu wake utampa bila hiana?ππππ
ππππSitaki vita nimesema π€£π€£
La la laπππSitaki vita nimesema π€£π€£
Ko usipo kunywa chai, mdomo una hamia kisogoniπ€£ππSijanywa hata chai Jamani
Nakubali sister π, sema wenye miguu midogo Mana faidi
Pole π€£π€£π€£Sijanywa hata chai Jamani
Nimecheka kifala πππKwani hawajitokezi basi ila kunamtu naona kaniroga anataka nifufuke na mbwa π€£π€£π€£
39 ni ndogo? Uwiii ππ€£πNakubali sister π, sema wenye miguu midogo Mana faidi
Kiatu cha Kaka πππ
Hi ya mtoto bhanaπ€π€ππPitch π€©View attachment 2659378
SI ma giant tunavaa 49 0r 50 π€£π39 ni ndogo? Uwiii ππ€£π
Matangazo au ???π€£π€£π€£Pitch π€©View attachment 2659378
Duh,mie najua wanao selfika ni wadada tu ,hata sie madereva wa boda?Selfika basi
Madereva ndiyo mahali penu hapaDuh,mie najua wanao selfika ni wadada tu ,hata sie madereva wa boda?
Nitaangusha abiriaMadereva ndiyo mahali penu hapa