Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,339
- 2,609
Ukimaliza kula, una lala chini tuπ€£ππ, hata vyombo una shindwa kutoaπππLiugali
Kwakweli ilamboga changamotoUkimaliza kula, una lala chini tuπ€£ππ, hata vyombo una shindwa kutoaπ
Nahisi zimefichwa tuπ€£πKwakweli ilamboga changamoto
Si huyu Intelligent businessman anataka kunipa adhabu kubwa kuliko uwezo wangu!!πPole Dokta, mbona huu uzi sio wa mambo magumu ? mpaka kutakiana vifo?
Mjep hujambo kipenzi uko poa?
Utalala vizuri nitakuja nikubembelezeNiko poa sweet heart π
Ila aunt umeona Intelligent businessman alivyonikata jicho? Leo nitalala usiku kweli?
Ntajitahidi!π
π€π€Hili hapa linakuwa namba 5,ukitoa yale mengine,likiongozwa na lile jeusi.
Kwa style hii, utakula hizi zote leooπ€£π @dr lizzy
π³π³π³π³π³π³π³Dr Lizzy, ka ugali kadogo Kama kilo 1 kakuuueπππ na hi Sasaπ
π mshamba_hachekwi, Aaliyyah njoo tuleπ
View attachment 2658479
Kumbe ndivyo ulivyo,Utalala vizuri nitakuja nikubembeleze
Huyu nitamalizana nae Mimiπππ
Ngoja niombe ban kwa Max ππΎββοΈ ππΎββοΈKwa style hii, utakula hizi zote leooπ€£π @dr lizzyView attachment 2658511
You must fulfill the challenge, la sivyo uta ongezewa adhabu,ππ€£Ngoja niombe ban kwa Max ππΎββοΈ ππΎββοΈ
Jitahidi umalizeeππ€£π³π³π³π³π³π³π³
Kuona picha tu mapigo ya moyo yameshaanza kwenda mbio!