Selfika na JF: Snap it. Show it

Marahaba mama Junior
Mdogo wangu wa ukweli
Nkamu wangu
Rafiki yake Wigelekelo
Shabiki mkubwa wa Liverpool

Bila shaka uko salama
Huyo Wige amevuruga mkeka hapo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijambo Mkurugenzi.

Mwezi ujao tunarudi uwanjani majogoo
Nyuzi zetu tayari zishatoka Mkuu [emoji2960]
Size ni medium,,situmii kitambaa kikubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umependeza sanaπŸ˜πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Eti Asha NgedersπŸ˜‚πŸ˜‚

Nimecheka .

Kuna dada unafanana naye sana

Ngoja nikutafutie picha yake nikuonyeshe
ITakuwa Nina pacha aisee kunarafikiyangu kanitumia picha ya dada mmoja hiv copyright nna mm sura yangu kamayake yaani πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…