Nyie madogo bhana, umefikiria dating tu.
πVipi kuhusu usiri, watu wakitoa taarifa nyeti??
πKuna baadhi hawapendi kutambulika, ili kuwa na Uhuru wa kujumuika na wengine. Eg viongozi, wafanya biashara.
Hukuti watu huku wanafwatiliana huku no uswahili uko kwingine wanapost miguu ya kuku na sungula uku watu wanatupia picha wakiwa kwenye kazi mtu kama huna kazi upo humu utataafuta kazi kwa nguvu tu π€£