Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Hi kauli Mwachiluwi utaikumbuka, Kama dela la kuazima.Sijui kwakwel ye akimbie tuu.. Si unajua tenaa mbio za sakafuniπππ
Ahahahah jf nina mrembo wangu mmoja tu Intelligent businessman alikuwa kuwadiNi kua makini tu maana wengine Ni ke ila wanandevu zao.
Haha usije ukatuletea kilio tu
Na wewe unasema ivyo wakati umenikataza kushika simu usikuSijui kwakwel ye akimbie tuu.. Si unajua tenaa mbio za sakafuniπππ
-Risk by davido[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachomoka m1 m1, na wanaliwa vichwaaa.
Watu weuweeeeeeeeeeeh.
Tuombe slfie ya mtoto huyu mkuu! Macho ya furahiDahan hebu sema ukweli, Mwachiluwi sio mkimbiziπ€£π
Yupi huyo, au ex pendwa wa jf Bantu Lady π (joking)Ahahahah jf nina mrembo wangu mmoja tu Intelligent businessman alikuwa kuwadi
Ahahahahah jf wanatakowa tuwe tunajiunga na namba za nida ili kipengele cha jinsia kiwe automaticallySisi tutakuwa kwa mbali, tunashuhudia Mwachiluwi ππ€£. akisurubiana na mbabe mwenzieπView attachment 2655050
Uyo tulishindwa mrembo anapiga. Ngumi kama emezaliwa KoreaYupi huyo, au ex pendwa wa jf Bantu Lady π (joking)
Sorry teacher, ila safari ilikuwajeππ€£View attachment 2655060
Wananchiiiiiii[emoji1]
Naona unataka kuutingisha mbuyu, utaishia kuutingisha kalioππ€£π€£Tuombe slfie ya mtoto huyu mkuu! Macho ya furahi
"Hawajui" by Vanessa Mdee-Risk by davido
-over Dem by davido
"Huku wapo wazungu tu"Wewe umekimbia uko kisa hakuna watu umekuja uku unaleta vurugu uku wapo wazungu tu wakana kapchino mjep Jr boss wa selfika uyo
Nyie madogo bhana, umefikiria dating tu.Ahahahahah jf wanatakowa tuwe tunajiunga na namba za nida ili kipengele cha jinsia kiwe automatically
Mi na Mwachiluwi ni mabestie for life, tuna Juana SanaπͺNanyie mneanza tena acheni hizoo nyie wanaume mjue!!
Hukuti watu huku wanafwatiliana huku no uswahili uko kwingine wanapost miguu ya kuku na sungula uku watu wanatupia picha wakiwa kwenye kazi mtu kama huna kazi upo humu utataafuta kazi kwa nguvu tu π€£"Huku wapo wazungu tu"
Mwisho wa kunuuu ila nimeipenda hii santrooo sanaaa!π
Mimi sina EX JF. Hiyo ex pendwa imeanzia wapi? Sitaki utani huo, nina my Man humu na anasoma haya yote please.Yupi huyo, au ex pendwa wa jf Bantu Lady π (joking)
Jina like fake ila mfano kama wewe unataarifa gani ya nyeti ya kutishia usalam wa taifa πππNyie madogo bhana, umefikiria dating tu.
πVipi kuhusu usiri, watu wakitoa taarifa nyeti??
πKuna baadhi hawapendi kutambulika, ili kuwa na Uhuru wa kujumuika na wengine. Eg viongozi, wafanya biashara.