Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata sijui nacheka nn, woiiiiiiiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
 
Mi mwenyewe naweka chaji ki Itel changu kina 6 years hapaaa nikizubaa rubbeband ikiachia kinaripukaa๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Kiweke tuje tupate mambo mazuri Kama ile selfie ya last time

mnywani kila nikijaribu ifuta ile selfie ubongoni inagoma kabisa ati
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah jamanii mie sitakiii.
Mbavu zinauma kwa kuchekaaa, uwiiiiiih
 
Lol mbona umeacha ile id yako sasa best nawewe๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š!!

Nawezaje kukuchunia mieee unajua kabisa Siweziiii ๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ๐Ÿ˜›!
Ahahahhaha ile watu wengi walikuwa hawalipe di jina so ikabid nirudishe jina la mwazo
 
Huyo Shoga anakupa wakati wa kumfuatilia kwa undani kuliko hao pisi kali? Bas huyo shoga kuna kitu kawazidi hao pisi kalii wako.
watu weuweeeeeeeee
Na uko buzzy mda wote kuifatilia hiyo laana??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dj Waleteeeeee.
Siwezi poteza muda wangu, nilisahau kuna ignore button, una udhi, pisi kali humu zinapost picha we kazi yako kutwa kucha kupost vi imoji unajichekesha kama chizi la milembe, hau fit kwenye huu uzi na wengi hawakuelewi, fuatilia kimya kimya kama huna cha maana unatia kichefu chefu.
 
Ilaa wewe ndio mkorofi hapo kunna usemi wanasema

Achana na maisha ya watu kabisa utaishi sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi ukiwa na stress ndo uhamishie kwangu??nawee post vi emoji vya kujichekeshaa, hao pisi kali uhuru ni wao kupost,

Huu uzi nipoo sanaaaa, ko mateso kwako ni endelevuu.
Kaa kwa nywilaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahahahhaha ile watu wengi walikuwa hawalipe di jina so ikabid nirudishe jina la mwazo
Lol kumbeee mi nikahisi huyu mtu mgeniiii selfika ila nikashangaa mgeni gani anabagua wa kuongea naoo lol๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š!! !!
Fanya uibles Jioni yangu kwanzaa besttt au utatupia badae yanga tukishafanya yeitruu???
 
Ahahhahah usijar kabisa ilo limepita kwa tiki kubwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Selfikaa hapana kwa kweliii.
Mie nshaizoea, najioneaa manjegekaa tyuuh.

Watu mkae kwa nywilaaa, ogopa matapeliii.
Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lol kumbeee mi nikahisi huyu mtu mgeniiii selfika ila nikashangaa mgeni gani anabagua wa kuongea naoo lol๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š!! !!
Fanya uibles Jioni yangu kwanzaa besttt au utatupia badae yanga tukishafanya yeitruu???
Huyo Mwachiluwi ni msalitk mkubwa, alikuwa team jf usiku wa manane.
๐Ÿ‘‰Tukiwa Mimi intelli, Dahan, Analyse, Half american, Bantu Lady, na dogo aliye maliza form 4 mwaka Jana mshamba_hachekwi ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ