Selfika na JF: Snap it. Show it

tafta msaada wa kiroho kijana usije ukafanya maamuzi magumu..... unaonekana umefikia breaking point
 
Karibu kwanza tule chungwa huku tukijadiliana.
Why always you.
 
Lakini bado watu wataondoka then utabaki pekeyyako
hio ishu ya kutapeliwa na mikopo sio tatizo zima..... inaonekana una matatizo mengine kwenye maisha yako, hii ishu ya kutapeliwa ndo kama imeongeza maumivu..... tafuta msaada kwa wataalam wa kisaikolojia au watu wa kiroho....
huku jf hakuna mtu atakuelewa 100%.... sonona is real, and it kills
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…