Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba uniwacheee, huko chimbo kuna mtu kauletaaa mbna nli log out fastaa, sitaki ushahidi mie akuuuh.

Kwan hata nilivyo usoma kwa da mange nikawa hadi naziba macho, isije cctv ya hackers ikanionaa. Ule ubuyu umevuka viwangooo.

Mmmmh siuwezii kwanza hata siutakiii, napenda ubuyuu ule wa motoo km sio bomu la [emoji3518]. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wee kuwezaaaa???
 
Hata ku-like tu labda uwe na roho ngumu mnooo. Mimi nilikua natetemeka kabisa, hata kusoma tu nilikua naona kuna watu watanitafuta kwa nini nimesoma
 
Hata ku-like tu labda uwe na roho ngumu mnooo. Mimi nilikua natetemeka kabisa, hata kusoma tu nilikua naona kuna watu watanitafuta kwa nini nimesoma
Mie nilisoma nkafunga app, na siingii week nzima had chimbo pia,

Emu tuyaache bhana, jion njema.
 
Dume zima linaandika da mange, hovyoo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…