mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
sasa mbona unauliza maswali tena πAlikuwa ana lala 1 hr, kwenye sakafu ya kiwandaππ
mchawi huyoπHalali πππππ
Halafu una amka saaa ngapi,π€π€Huyo mimi....
Sema mi sa tisa naangushaga ππππ€π€ππππ
Kwa hip hop ya Africa, mi ni khaligraph Jones π€π€mchawi huyoπ
hip hop ya africa sijui naionaje yaaniπ mimi ni afrobeats tuKwa hip hop ya Africa, mi ni khaligraph Jones π€π€
Yaaani weee acha tuuu.....mchawi huyoπ
sadam hussein ni mwanasiasa??Yaaani weee acha tuuu.....
Mkuu nachek story book ya sadam hussein hapa daah so sad aiseeeee so sad jaman daaah
Saa 5Halafu una amka saaa ngapi,π€π€
Yaaah yaaah alikua rahisi wa iraq...sadam hussein ni mwanasiasa??
Kombe limebakii uarabunii, hilo tyuuh sisi rohooo kwatuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sibishani na watu ambao hawana medali na hawajafika fainali[emoji23]
duh, siasa hua zinanichanganya πYaaah yaaah alikua rahisi wa iraq...
Ooooh alinyongwa aiseeee
Sikiliza nyimbo ya roma "*nipeni maua yangu...ππππduh, siasa hua zinanichanganya π
Shekpeee π€, he was tour future husband ππππsadam hussein ni mwanasiasa??
Ni mida yangu ya kazi mkuuBro Jack Palladino Ume like post yangu saa 10 usikuπ€π€, ndo uli rejea kutoka kuwanga niniπππ
π mshamba_hachekwi, Poor Brain
Gud boss, naona wewe umeshavuka ile 5-am clubπππNi mida yangu ya kazi mkuu
Victory hour!Gud boss, naona wewe umeshavuka ile 5-am clubπππ
Sawa bro, ukipata deal utupe vijana Sasa Jack Palladino πͺVictory hour!
Sawa kijanaSawa bro, ukipata deal utupe vijana Sasa Jack Palladino πͺ