Haha vizuri nataka siku moja nikuone upo na CEO Tim Cook mmekaa meza moja kama board of directors na major shareholders pale Cupertino, California Apple HQ
π π π π nataka siku moja nikae na Bantu Lady inatoshaaa π€£π€£π€£ ma ambao nilikuwa nawatamani siku moja nikae nao wanaishiaga kufa vifo tatanishi wengine wanajiuaa sijui maana yake nini