Mi mwenyewe sipendi dear Ndiomana nawadeizz na mind ma own fckn biznes baaaassss ya waja ππππππMungu hakutaka migogoro akampa kilamtu Mali yake awe na yake Yani mm yangu ni yangu Mwenyewee naitumia nipendavyo Sijapenda ππππ
Kama ndoto yenyewe ndo hiπ€, acha tuzikwe kabisaaaπ€£ππ€£π AaliyyahππAmka usingizin utajikojoleaπππ
Ahahahhahah be care lakini be care sanaaaa ππππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wananitafuta wapiii?? Mtaani au hapaa kwa keyboard? Waambie waanze hata sahivi maana km wanasubiri niingie ktk 18 zao, km wamesimama bas watandike jamvi wakaee.
Sasa mie wa kuniogopeshaa hao watu? Vilikua vikundii na vilishindwaa, watu walipambana na mie na nkawashinda hadi kuomba niondolewee JF, POLL iliwekwaa nkaondolewa kwa muda na nkarudishwaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa JF hii badoo sanaa wa kunitafuta etii niingie kwenye 18 zakee? Naweza kuingia na hakuna kitu atafanyaaa.
Wapeee salamuu, Coca bado yupooo sanaaaaaa.
"Kudambukaaa" π€£π€£π€£π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu hadi nimechekaaa eti coca wa kuogopeshwaa na watu walio kwa keyboard? Km wao wanayaweza na wana sababu za kuniparua kwann wasianzee hadi wasubiri niingie kwa 18 zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameshindwa kudambukaa kimya kimya huko kwenye PM zao uchwaraa, wana amua kujitokezaa wazi wazi sasa. Mie nipoo na nina wasubiriii niwapeee kile wanachostahili.
Woiiiiiiiiiiih
Hamna chuki mpendwaππ, Jamaa ana fanya utani tuπππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu hadi nimechekaaa eti coca wa kuogopeshwaa na watu walio kwa keyboard? Km wao wanayaweza na wana sababu za kuniparua kwann wasianzee hadi wasubiri niingie kwa 18 zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameshindwa kudambukaa kimya kimya huko kwenye PM zao uchwaraa, wana amua kujitokezaa wazi wazi sasa. Mie nipoo na nina wasubiriii niwapeee kile wanachostahili.
Woiiiiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamevurugwaaa na coca shangaziiiii, hawanywi maji yakakata kiu, hawali wakashibaaa kisa coca.Hiv kunawatu kabisa wanatafuta undani wa mtu kweli Kwan kilamtu anatumia chake ugomvi wa nn[emoji3][emoji3][emoji125][emoji125]
πππππππ Namuonea huruma sana... Nanji boiMzee usije fia kifuani hii ngoma ngumu πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] semaa uambiwee na uelekezweee.Nayajua sana tuuu.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππLeo mmejua kunivunja mbavuπππππππ Namuonea huruma sana... Nanji boi
Degedege la ukubwani bwahahahahaπ€π€π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamevurugwaaa na coca shangaziiiii, hawanywi maji yakakata kiu, hawali wakashibaaa kisa coca.
Kilaa waionapo hii ID wanapatwa na dege dege LA ukubwaniiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa ana Tania tuπππ, hamna chuki"Kudambukaaa" π€£π€£π€£π€£π€£π€£
coca mbavoooo zangooooo hukuuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzzπ€£π€£π€£π€£π€£ππ
Nacheka hadi nataka kujikojolea hapa ujueeπ€£π€π€π€
Usije kufa wewe aalaaaaah ππππPoor Brain Hebu ona hi, Afu Aaliyyah kina Cha maji hakipimwi kwa kidoleπ€£π€£π€£π
Shangaziiii umechachukaaa vibayaa mnoooooMungu hakutaka migogoro akampa kilamtu Mali yake awe na yake Yani mm yangu ni yangu Mwenyewee naitumia nipendavyo Sijapenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We nitusi ila tutakutana kule jf usk wa manane mana mnajifanya kunichangia nyie ππππSio lazma uelewe bhanaππ
Nanjilinjii boy, mtaalamu wa kuwaletea wapenzi. - haya chukua demu huyo Poor Brainπππππππ Namuonea huruma sana... Nanji boi
Mshamba yupi huyo....Mshamba hawezi elewaπ€£ππ
Nyiee mnaniuaa mbavuuu memeeee hukuu mjueeee!! π€£π€£π€π€π€π€π€!!Maisha mafupi mno kuwaza mambo ya mtu mwingine kiukweli tuishi tu mm mtu unawaza utapataje Hela kumbe kunamtu anakuwaza umenyanduliwa vingapi usiku ulopita mvurugano kabisa aisee ππππTuishi tu πππ
Kama wanipendaπππLeo mmejua kunivunja mbavu