Picha zngine sio zetu wadogozetu HaoNa wenye 70 tusemeje๐๐๐, jinga ile siku nimeona selfie ๐๐
Akitakiwi kabisa ๐Cha kufutia simu sio mbaya๐
Acha utani bana, kuna warembo wanapenda vitambi kidogo๐Akitakiwi kabisa ๐
Ahha nakujibuBoss mbona haunujubu, maswali yangu๐ค๐ค๐คจ
Njoo ukuleNa Mimi Nina njaa boss
๐๐๐ uzee unaukaribishaAcha utani bana, kuna warembo wanapenda vitambi kidogo๐
Ahaaa unataka ninyanyue vyuma gym nitengeneze six packs? Muda wa gym natoa wapi?๐๐๐ uzee unaukaribisha
Utafute utaupata tu muda upoAhaaa unataka ninyanyue vyuma gym nitengeneze six packs? Muda wa gym natoa wapi?
Muda hamna kijana acha tutafute pesaUtafute utaupata tu muda upo
Ngoja nikutafutie pichaa shangazii, niliona sehemu nkashindwa kusave, wacha niende ile sites nkatafutee[emoji7][emoji7][emoji7]Hauna picha dear Yan hiyo nipate na head scarf flan hiv nitapendeza
Sawa kipenzNgoja nikutafutie pichaa shangazii, niliona sehemu nkashindwa kusave, wacha niende ile sites nkatafutee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii ndo fashiooooooon!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umenikumbusha nimeletewa suruali bwanga zile zinazobana juu na koti lake Kila nikivaa Nacheka balaa [emoji1787][emoji1787]
Asante kipenziSawa kipenz
[emoji8][emoji8][emoji8]Sawa kipenz
Mzima wewAsante kipenzi
AhahahahaMuda hamna kijana acha tutafute pesa
SI umesema vya usiku๐ค, nisije haribu ratiba๐๐Njoo ukule
Yalaa๐๐, ๐- hiii umejuaje๐๐๐Unaenda hata na tochi km uko mgodini๐๐๐
Usijareee dear Kitambaa au kitenge??? Mama Pasta yuko vizure kwenye miongozo ya mishono
Forever and always mkuu