atutaki kuchezaaa naeee tenaaaππ πEendiwoooooooo mjombaaa akae mbareeeee nasieeeee kabesaaaππππ!
Maisha ya ki Africa matamu Sana, sema watu na Sera za mazingira hazijakaa sawa. Ila Mtonyo upo nasemaMie hata ufanyaje hunipeleki nje ya nchi labda kama kwenda kula bata tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napenda kuishi mambelee balaaa, huniambii kitu.mambele pazuri, ila maisha yapo bongoi [emoji28][emoji28]
madogo yana nafuuMakubwaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee si unaona pana ku fevaa, mie hapanaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mie hapa bongo hunitoi hata kwa crane
π₯°π₯°π₯°ππππ€©ππππ€©π₯°ππ₯°π€©Nipo hapa kaka angu, I love u too.
Nmewamic pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiiimadogo yana nafuu
Nyie ndo mnbakaga kabisa mfyuuu!!
mizigo kama ya mashangaziii yanguuu nimuwachieer naniiii π π π π na mdogo wangu kipenzi Lovelovie nimuachie naniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee si unaona pana ku fevaa, mie hapanaaaa
Unakata mzinga kutoka mtoni GoodlifeMuda wa kulewa...ππ₯View attachment 2644782
Mkuu mtupe dili Sasa, tuwe hata ma gardener wenu mkuuππMuda wa kulewa...ππ₯View attachment 2644782
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mizigo kama ya mashangaziii yanguuu nimuwachieer naniiii [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] na mdogo wangu kipenzi Lovelovie nimuachie naniii
Na hivi pafyumu situmiagi, Basi hata kimvuli changu nitakifichaaπππ€Na nisikuone kitaaa.. maweee yatakuhusuu yanii nafungulia na bull dog wetu umalizane nae π π π π
ππππππ mwaaaaππππ₯°π₯°π₯°
ππππ π
Mie nipo njema sana Palina . weekend yaendaje kipande hichoSalama.kabisa mkuu, natumaini na kwako pia
Mkuu tuendelee kupambana mambo yatakaa sawa tuπMkuu mtupe dili Sasa, tuwe hata ma gardener wenu mkuuππ