Selfika na JF: Snap it. Show it

Bongoo pazuri banaa.. ukiwa na helaaa huko nje unaenda kutumbua bataaa ... hela bado ipo nyingi sana humu ndanii.. angalia sector ya bank au telecom au mining ule maisha
Bongo hela IPO kinyama, Ni kusumbua Akili jinsi gani unazipata.
πŸ‘‰Kuna msemo unasema hela zipo kwa watu, fikiri jinsi ya kuzichukua cocastic
 
Ndo maana akee, yaan kwenye hizi upenyo ni kutafuta ways ya kusepea mbeleee, yaan daaah bas tyuuh labda nisinyanyukie mbelee. Nikitua tyuuh huko shaaa. Imeishaaa hiyooo.
 
Ndo maana akee, yaan kwenye hizi upenyo ni kutafuta ways ya kusepea mbeleee, yaan daaah bas tyuuh labda nisinyanyukie mbelee. Nikitua tyuuh huko shaaa. Imeishaaa hiyooo.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mie hapa bongo hunitoi hata kwa crane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…