National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
ale chumaaaa ๐ ๐Nimeandika nikafuta nikaandika nikafuta nikaandika tena nikafuta........!!
aaah leo nitapita nae hata kumbeba mgongoni kwa lazima ๐ ๐ ๐ ๐ namtobolesha hadi saa mbili asubuhiiShida Tonia anawahi kulalaa, weekend na yuko likizo atoke kuruka majoka ๐ ๐ ๐ ๐
Mie nilifeliiigii ujueeee hata Sijaelewaaaaa.......!Wanao mjua intelli wa sasa, wanaelewa I never delivery and if I do so it's the best out of me๐ค
๐ Kama hauwezi niamini, kwa kila Ninacho fanya. Basi siwezi endelea kupanda mbegu kwenye mlima๐๐คจ
Antonnia
ubebe na kabegi kako usisahu na maji ya kunywaa ๐๐Nakuja!!
Huku kwetu ni 4000 kasoro 200!! Sasa si utanifilisi!??๐ณ๐ณAisee, usije niitia mapolisi kisa Michelle wa buku 3 ๐๐. Maana nabugia kilo mwenyewe๐๐ค
midomoo hiyooo ๐๐๐ rangiii hiyoo dah.. ebu nimuone bibi harusiVijana wa hovyo wacha waendelee kukaza fuvu ndoa ni utapeli nishakula ubweche sasa hivi natafuta soda bariddiiiView attachment 2644730
Onyesha mfano!Anza wewe, naweka yangu fasta๐
Mali ya watu tayari ๐๐midomoo hiyooo ๐๐๐ rangiii hiyoo dah.. ebu nimuone bibi harusi
Ndio nasubiri ๐บ hapa....ubebe na kabegi kako usisahu na maji ya kunywaa ๐๐
Kabisaaa kipenziiii umeona eeehhh!! Tatizo huku Nyakiboo sasa๐Shida Tonia anawahi kulalaa, weekend na yuko likizo atoke kuruka majoka ๐ ๐ ๐ ๐
Onyesha mfano!
Mashallah mrembo ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ mbona ubweche ๐คฃ๐คฃ๐คฃ na soda ya Pepsi baridiii unashushia bi mzuri...Vijana wa hovyo wacha waendelee kukaza fuvu ndoa ni utapeli nishakula ubweche sasa hivi natafuta soda bariddiii
Tualikane kula ubwabwa ๐คjamani, uchoyo haupendezi nuzuVijana wa hovyo wacha waendelee kukaza fuvu ndoa ni utapeli nishakula ubweche sasa hivi natafuta soda bariddiiiView attachment 2644730
Vijana wa hovyo wacha waendelee kukaza fuvu ndoa ni utapeli nishakula ubweche sasa hivi natafuta soda bariddiii
Hivi Kuna binadamu mbaya๐๐๐Mashallah mrembo ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ mbona ubweche ๐คฃ๐คฃ๐คฃ na soda ya Pepsi baridiii unashushia bi mzuri...
We si upo kwennye group la ndoa ni utapeli๐Tualikane kula ubwabwa ๐คjamani, uchoyo haupendezi nuzu
Umesahau kuwa mgeni Ni malaika๐ค๐ค๐Huku kwetu ni 4000 kasoro 200!! Sasa si utanifilisi!??๐ณ๐ณ
Usinipeperushie warembo๐๐๐, lini, wapi na kwanini๐๐We si upo kwennye group la ndoa ni utapeli๐