Selfika na JF: Snap it. Show it

Urembo upo kwenye damu Nkamu

Wengine hapo hata mafuta tu tungesahau kubeba[emoji1787]
Tunaenda kununua yoyote mbele kwa mbele

Nkamu sio hobby yako[emoji1787]vitu vya kwanza kuweka huwa ni vipodozi hapa nna kipele Shavuni toka usiku nahangaika nacho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…